Kwakawaida unaweza ukazungumza jambo alafu watu wengi wakalitafsiri kutokana na mawazo ya haraka haraba baada ya kusikia ulicho sema au kusoma ulicho andika.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ameweka post ambayo imedhaniwa kuwa ameanika uwazi kuwa anaenda kufanya mapenzi na Zari ambaye ni mama wa mtoto wake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond Platnumz amepost picha hiyo hapo juu akiwa na Zari kisha kuiandikia caption inayo sema "Kwa fasi ya Mama tee leo kumpa dawa kidogo...❤ @Zarithebosslady" na wengi kudhania kuwa ni muda wa kufanya naye mapenzi.
Niachie maoni yako hapo chini kuwa wewe umetafsiri/umeelewa nini?
Diamond Platnumz Aandika Post Hii Kuashiria Ni Siku Ya Yeye Kufanya Mapenzi Na Zari!
Reviewed by
on
9:57:00 PM
Rating: