Gadna : Sina Ugomvi na Jide, Nimemkojoza Miaka 15


Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.


Video hii hapa chini.
Gadna : Sina Ugomvi na Jide, Nimemkojoza Miaka 15 Gadna : Sina Ugomvi na Jide, Nimemkojoza Miaka 15 Reviewed by on 1:00:00 AM Rating: 5