DAR: Kijana mmoja mkazi wa Buguruni akamatwa baada ya kubainika akiwa na kuku 78 waliokufa akijiandaa kuwasambaza kwa wauza chips. Afisa Afya Kata ya Buguruni amesema baada ya uchunguzi walibaini kuku hao hawafai kwa matumizi ya binadamu kwa kuwa walikuwa wameshakufa.