BUTIAMA, MARA: Wakazi 2 wa kijiji cha Manzami, mume na mkewe wamekutwa wameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga na watu wasiojulikana.Mwenyekiti wa kijiji amesema kuwa wauaji hao hawakuchukua kitu chochote kutoka kwa marehemu