Bunge Latoa Msimamo Wake Kuhusu Naibu Spika Tulia Ackson Kukataliwa na Kambi ya Upinzania


Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah
Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, amesema msimamo wa wabunge wa upinzani kutohudhuria vikao vinavyoongozwa na Dk. Tulia hauwezi kuathiri shughuli za Bunge na uongozi wa Bunge hauoni tatizo la Dk. Tulia kwani ni kiongozi mahiri anayesimamia kanuni wakati wa kuliongoza Bunge.
Neno moja kwa Katibu wa Bunge
Bunge Latoa Msimamo Wake Kuhusu Naibu Spika Tulia Ackson Kukataliwa na Kambi ya Upinzania Bunge Latoa Msimamo Wake Kuhusu Naibu Spika Tulia Ackson Kukataliwa na Kambi ya Upinzania Reviewed by on 7:13:00 AM Rating: 5