Diamond Aongeza Nyumba nyingine


Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima aongeze na nyumba

Je kuna haja ya kumchukia Diamond kama wengine wapo bize kubadiri mademu yeye yupo bize na nyumba
Diamond Aongeza Nyumba nyingine Diamond Aongeza Nyumba nyingine Reviewed by on 10:28:00 PM Rating: 5