Picha: Hatimaye mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda ajichora tattoo yenye jina la staa huyo


Mwanamuziki wa Bongo fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake mpya ambaye amejichora tattoo yenye jina la staa huyo
Mapenzi nikama upofu kama wengi wasemavyo, Kwa penzi la Nuh Mziwanda sasa inawezekana isionekane kuwa ni ajabu kuona mpenzi wa staa huyo kujichora tattoo yenye jina lake kwakuwa ilianza kwa Shilole na sasa mpenzi mpya wa staa huyo amejichora tattoo iliyo andikwa ‘Nuh Mziwanda‘.

Mwanamuziki wa Bongo fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake mpya ambaye amejichora tattoo yenye jina la staa huyo.
Unadhani mrembo huyu kakosea, Acha maoni yako hapo chini!
Picha: Hatimaye mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda ajichora tattoo yenye jina la staa huyo Picha: Hatimaye mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda ajichora tattoo yenye jina la staa huyo Reviewed by on 7:21:00 AM Rating: 5