Sallam atoa hint ya ujio wa album mpya ya Diamond


 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Diamond anajiandaa kuachia album yake mpya. Meneja wa staa huyo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini ametupa hint kuwa santuri mpya ya msanii wake ipo njiani kuja. Sallam Sharaff amepost picha hiyo chini na kuandika kwa maneno yanayotafsiriwa kwa Kiswahili ‘hii ni tarehe sahihi ya kuachia album.’

 Kwa sasa muimbaji huyo anafanya vizuri na wimbo wake Kidogo aliowashirikisha P-Square. Video ya wimbo huo hadi sasa ina zaidi ya views milioni 2.2 kwenye Youtube.
 
Sallam atoa hint ya ujio wa album mpya ya Diamond Sallam atoa hint ya ujio wa album mpya ya Diamond Reviewed by on 7:25:00 AM Rating: 5