Kisa kipigo, Nuh akodi bodigadi


KUFUATIA kuwepo madai kuwa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda kutishiwa kupewa kichapo na mijemba inayodaiwa ilitumwa na aliyekuwa mpenzi wake Shilole, hatimaye Nuh aamua kukodi bodigadi wa kumlinda.

Nuh alionekana akiwa na bodigadi huyo kwenye Tamasha la Mwendokasi lililofanyika Viwanja vya Posta jijini Dar hivi karibuni jambo lililozua minong’ono kwa baadhi ya mashabiki wake.

Katika tamasha hilo burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Barnaba, Isha...



Global Publishers
Kisa kipigo, Nuh akodi bodigadi Kisa kipigo, Nuh akodi bodigadi Reviewed by on 11:14:00 PM Rating: 5