Breaking News:Hoja ya Dharura Wanachuo 7000 UDOM: Naibu Spika Aahirisha Bunge Baada ya Wabunge Kwa Pamoja Kutoka nje


Bunge limechafuka muda huu baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kuomba mwongozo wa kujadili hoja ya wanafunzi zaidi ya 700 waliofukuzwa chuoni ijadiliwe kama hoja ya dharura.

Naibu spika akaendeleza ubabe hivyo wabunge wa vyama vyote walisimama na kutoka nje.

Chanzo: Radio One

Breaking News:Hoja ya Dharura Wanachuo 7000 UDOM: Naibu Spika Aahirisha Bunge Baada ya Wabunge Kwa Pamoja Kutoka nje Breaking News:Hoja ya Dharura Wanachuo 7000 UDOM: Naibu Spika Aahirisha Bunge Baada ya Wabunge Kwa Pamoja Kutoka nje Reviewed by on 2:45:00 AM Rating: 5