Kwa mara ya kwanza nimekutana na Askari wengi sana ukitoka Arusha mpaka Bagamoyo kuna Askari kibao wanawakamata watu kwa kupima speed, uku wakiwa wamevaa kiraia, na wanapokuwa wanakupiga Toch wanakuwa wamejificha kichakani.
Pili baada ya kukupiga Toch, anakuacha unampita ndo anampigia trafiki aliyevaa sare ya kazi, na kumwambia umepita kwa speed kiasi gani na kumwambia akukamate..
Je watu hawa wapo sahihi kisheria?
Ni Sahihi, Polisi Mshika Tochi Kuvaa Kiraia na Kujificha Kichakani?
Reviewed by
on
2:43:00 AM
Rating: