Tarehe 9/10 kabla hajalala
mwigizaji Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya
ambayo imechorwa juu ya kifua karibu na bega ikiwa ni picha aliyoipost
na ikaambatana na maneno yafuatayo.
“Kumekuwa
na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua
wanachokiongelea pengine!! kwa upeo wangu mdogo nafahamu sisi wote ni
binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza
kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo
chake, hivi Mungu angetaka kufanya kama wanadamu tunavyofanya
tungeangaliana kweli? nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye
majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY
GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”
LULU AJICHORA TATOO MPYA NA KUANDIKA UJUMBE HUU....
Reviewed by
on
11:45:00 PM
Rating: