Akizungumza na waandisha wa habari, Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari mara baada ya kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge amesema kuwa jana wabunge hawakulala kwa sababu ya simu zilizokua zikipigwa toka kwa ndugu na wanafunzi waliofukuzwa UDOM
Amsema kuwa zaidi ya wanafunzi 7,200 wamefukuzwa kwa kupewa saa 24 wawe wameondoka chuoni hapo. Hivyo alitaka bunge kusitisha shughuli zake na kujadili suala hili lakini nabu spik alikataa.
Mtazame hapa Mbunge Nassari akizungumza.
Video: Joshua Nassari (mb) akizungumza baada ya kutolewa bungeni na polisi
Reviewed by
on
4:34:00 AM
Rating: