Aliyekua mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba na Katibu Ikulu Ndogo ya Pemba Mh.Faki Dadi Faki amekutwa guest akiwa na mtoto wa mke wake wa ndoa , na inasemekana ni mtu na mpenzi wake.
Ila baada ya mtoto kutiliwa mashaka akajaribu kuficha ficha leo ametegwa na kunaswa kwenye mtego ulioshuhudiwa na mama yake mzazi (mtoto akikutwa kitandani na baba wa kambo) hayo yalifanyika katika hotel ya Excutive iliopo pembeni ya makao makuu ya uhamiaji.
Video:Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Dadi Faki Dadi afumaniwa na mtoto wa mkewe
Reviewed by
on
4:28:00 AM
Rating: