Mwanamuziki wa Bongo Fleva hapa nchini, Belle9, amejikuta katika kupondwa na mashabiki wake wengi baada ya kuweka muonekano mwingine wa nywele zake.
Ni karibu siku nne sasa kwanzia Belle9 aweke rangi kwenye nywele zake nakuonekana wato fauti hali iliyosababisha mashabiki wa muziki wake kumponda staa huyo kwakuonekana amejaribu kufanya kitu ambacho hakiendani naye kabisa.
Mwezi uliopita, Rapper Young Killer alikuwa ni miongoni mwa wasanii kuonekana amebadilisha nywele zake kwakuzipaka rangi na hakupondwa sana na mashabiki kwakuwa amezoeleka kuwa mtu wa vituko sikuzote.
Lakini kwa mwanamuziki Belle9 imekuwa tofauti kwani nimiongoni kwa wasanii ambao kwanzia wameanza kujulikana kwenye game la muziki, Amekuwa ni msanii wa kutofanya mambo kama hayo.
Video: Mashabiki waponda muonekano mpya wa Belle 9
Reviewed by
on
2:28:00 AM
Rating: