VIDEO: Mtumbwi Kigamboni Dar es salaam Wasababisha Vifo


Habari za ajali ya kuzama kwa mtumbwi ambao ulikuwa unatumika kuwavusha watu kutoka upande wa soko kuu feri na kuelekea Kigamboni zilianza kuenea May 27 2016 ambapo Mtumbwi huo unasadikika kubeba watu zaidi ya 16 ambao baadhi yao wametoka wazima na watano wameripotiwa kufa.

Ayo TV imezungumza na Mratibu msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bashir Mazehebi ambaye amezungumza haya …………….’>>>’chombo kilichopata ajali ni Boti za fiber ambazo zinatumika mara kwa mara pale Kigamboni kunapokuwa na msongamano wa watu kuna biashara ya kuvusha watu huwa inafanyiaka, jana kulikuwa na msongamano wa watu pale hatimaye baadhi ya watu waliamua kupanda chombo hicho ambacho sio rasmi’

UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII:

VIDEO: Mtumbwi Kigamboni Dar es salaam Wasababisha Vifo VIDEO: Mtumbwi Kigamboni Dar es salaam Wasababisha Vifo Reviewed by on 11:10:00 PM Rating: 5