Bado klabu ya Dar es Salaam Young Africans inaendelea na mazoezi yake ya kujifua kuikabili klabu ya MO Bejaia ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa hatua ya nane bora Kombe la shirikisho Afrika, mchezo ambao utachezwa kati ya June 19 au 20, Yangawanaendelea na mazoezi yao wakiwa wamefikia katika hoteli ya Riu iliyopo mji waAntalya Uturuki.
PICHA 6: Muonekano wa hoteli ya nyota 4.5 waliyofikia Yanga Antalya Uturuki
Reviewed by
on
8:25:00 AM
Rating: